• info@hmc.ac.tz

  • Call Us:(+255) 744 90 40 40 | (+255) 757 71 26 90

  • Time:Mon-Sat: 08.00-17.00

Heart Sounds International wakishirikiana na Habari Maalum Media pamoja na Habari Maalum College, wamekuandalia kongamano kubwa kwa Wachungaji, Wasanii, Wanamuziki wa Injili, Wataalamu wa Media mbalimbali na viongozi wa Makanisa.

 

Sauti ya Afrika Mashiriki Jukwaa la Vyombo vya Habari

Theme: Ametupa Roho wa Ujuzi, Maarifa, Ufahamu na Ubunifu katika Ustadi (Kutoka 35:31)

Tarehe: 20-23 Mwezi wa Nane, mwaka 2019

Mahali: Chuo cha Habari Maalum, Ngaramtoni, Arusha, Tanzania

Gharama: 150,000/= kwa chakula bila malazi na sh 275,000/= kwa chakula na malazi kwa siku zote.

 

Katika kongamano hilo, washiriki watajifunza jinsi bora ya kumsifu na kumwabudu Mungu, makanisani na nje ya makanisa kwa  zana rahisi kwa muziki wetu wa asili, kujadili masuala ya kumwabudu Mungu Kibiblia, jinsi wachungaji na wasanii watakavyoweza kutumia media kitaalamu kufikisha ujumbe, unaweza kurekodiwa ndani na nje ya studio na mengine mengi. Hayo yote yatafundishwa na wataalam waliobobea kutoka Tanzania, Nigeria, Malawi, Finland na Marekani. Pamoja na haya, washiriki wote watakuwa na nafasi kufahamiana na kufundishana na wataalamu wenzao kutoka nchi mbalimbali katika Afrika Mashariki na nje ya Afrika.

 

USIKOSE fursa hii kupanua ujuzi utaalum na huduma unao. Jiandikisha kupitia link chini sasa hivi! AU andika kwa SAMT.Forum@gmail.com au temebela ofisi za Habari Maalum Media au Chuo kupewa fomu ya usajili. Kamilisha usajili wako kwenye webpage hii, au rejea fomu iliyojazwa pamoja na barua la mapendekezo kwa email au kwa ofisi za Habari Maalum kabla ya tarehe 15 Mwezi wa Saba 2019. Baadhi vya vipindi vitakuwa na maudhui maalum kulingana na utaalum tunazo. Tunaomba ujiandikishe kama msanii, mtaalum wa media, ama kiongozi wa ujamii.

 

Kwa habari zaidi simu namba +255757712690, +255755377596, +255758473994(WhatsApp) AU tuandikie barua pepe kupitia SAMT.Forum@gmail.com

 

KARIBUNI ARUSHA, KARIBUNI HABARI MAALUM

FOMU YA USAJILI

      

Chagua utaalamu kwa ajili ya tukio: 

Barua ya Mapendekezo kutoka shirika lao inayosema sababu unafaa tukio hilo. (kuUpload au kutuma kwa  SAMT.Forum@gmail.com)

Address

Address :

P.O. Box 14645,Arusha,City Center along Namanga Road, Tanzania

Phone :

+255 757 71 26 90

Phone:

+255 744 90 40 40

Email:

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Visitors Counter

123732
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
114
820
1200
120677
4218
6120
123732
Your IP: 3.236.74.69
2020-07-15 19:06

Facebook Latest Post

About us

Tanzania like the other counties in Africa has grater development and growth potentials,yet faces different challenges.Although the country is rich in terms of natural and human resources,but lack of personnel and leaders integrity.Recorgnizing this challenge,Habari Maalum College,wants to play an important role in developing leaders and media personel who can lead and tranform this country and Africa as whole.We want to train leaders and managers who are key influencers in the society as well as Media personnel.